Native Bible

Leviticus 26:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtakula nyama ya wana wenu na nyama ya binti zenu.

Leviticus 26:29 in English

Leviticus 26:29 · Berean Standard Bible

You will eat the flesh of your own sons and daughters.

Context

27“ ‘Kama hata baada ya haya bado hamtanisikiliza lakini mkaendelea kuweka uadui nami, 28ndipo katika hasira yangu nitaweka uadui nanyi, nami mwenyewe nitawaadhibu mara saba kwa ajili ya dhambi zenu. 29Mtakula nyama ya wana wenu na nyama ya binti zenu. 30Nitapaharibu mahali penu pa juu pa kuabudia miungu, nibomoe madhabahu zenu za kufukizia uvumba, na kuzilundika maiti zenu juu ya sanamu zenu zisizo na uhai, nami nitawachukia ninyi sana. 31Nitaifanya miji yenu kuwa magofu, na kuharibu mahali patakatifu penu pa kuabudia, nami sitapendezwa na harufu nzuri ya sadaka zenu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.