Native Bible

Leviticus 25:43 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Usiwatawale kwa ukatili, lakini utamcha Mungu wako.

Leviticus 25:43 in English

Leviticus 25:43 · Berean Standard Bible

You are not to rule over them harshly, but you shall fear your God.

Context

41Ndipo yeye na watoto wake wataachiwa, naye atarudi kwa watu wa ukoo wake, na kwenye mali ya baba zake. 42Kwa sababu Waisraeli ni watumishi wangu niliowaleta kutoka nchi ya Misri, kamwe wasiuzwe kama watumwa. 43Usiwatawale kwa ukatili, lakini utamcha Mungu wako. 44“ ‘Watumwa wako wa kiume na wa kike watatoka katika mataifa yanayokuzunguka; kutoka kwao waweza kununua watumwa. 45Pia waweza kununua baadhi ya wakazi wa muda wanaoishi katikati yako, na jamaa ya koo zao waliozaliwa katika nchi yako, nao watakuwa mali yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.