Walawi 21:24
Leviticus 21:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Basi Mose akamwambia Aroni jambo hili na wanawe, pamoja na Waisraeli wote.
Leviticus 21:24 in English
Leviticus 21:24 · Berean Standard Bible
Moses told this to Aaron and his sons and to all the Israelites.
Context
22Anaweza kula chakula kitakatifu sana cha Mungu wake, pia hata chakula kitakatifu. 23Lakini kwa sababu ya kilema chake, kamwe asikaribie karibu na pazia wala kukaribia madhabahu, asije akanajisi mahali patakatifu pangu. Mimi ndimi Bwana, niwafanyaye watakatifu.’ ” 24Basi Mose akamwambia Aroni jambo hili na wanawe, pamoja na Waisraeli wote.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.