Walawi 20:1
Leviticus 20:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana akamwambia Mose,
Leviticus 20:1 in English
Leviticus 20:1 · Berean Standard Bible
Then the LORD said to Moses,
Context
1Bwana akamwambia Mose, 2“Sema na wana wa Israeli: ‘Mwisraeli yeyote au mgeni anayeishi katika Israeli ambaye atamtoa yeyote miongoni mwa watoto wake kuwa sadaka kwa mungu Moleki, mtu huyo lazima auawe. Watu wa jumuiya hiyo watampiga kwa mawe. 3Mimi nitauelekeza uso wangu dhidi ya mtu huyo, nami nitamkatilia mbali na watu wake. Kwa maana kwa kumtoa mmoja wa watoto wake kwa mungu Moleki, amenajisi madhabahu yangu na kulinajisi Jina langu takatifu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.