Walawi 19:2
Leviticus 19:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Sema na kusanyiko lote la Israeli na uwaambie: ‘Kuweni watakatifu, kwa kuwa mimi, Bwana Mungu wenu, ni mtakatifu.
Leviticus 19:2 in English
Leviticus 19:2 · Berean Standard Bible
“Speak to the whole congregation of Israel and tell them: Be holy because I, the LORD your God, am holy.*
Context
1Bwana akamwambia Mose, 2“Sema na kusanyiko lote la Israeli na uwaambie: ‘Kuweni watakatifu, kwa kuwa mimi, Bwana Mungu wenu, ni mtakatifu. 3“ ‘Kila mmoja wenu ni lazima amheshimu mama yake na baba yake, na pia ni lazima kuzishika Sabato zangu. Mimi ndimi Bwana Mungu wenu. 4“ ‘Msiabudu sanamu, wala msijitengenezee miungu ya shaba. Mimi ndimi Bwana Mungu wenu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.