Native Bible

Leviticus 19:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana akamwambia Mose,

Leviticus 19:1 in English

Leviticus 19:1 · Berean Standard Bible

Then the LORD said to Moses,

Context

1Bwana akamwambia Mose, 2“Sema na kusanyiko lote la Israeli na uwaambie: ‘Kuweni watakatifu, kwa kuwa mimi, Bwana Mungu wenu, ni mtakatifu. 3“ ‘Kila mmoja wenu ni lazima amheshimu mama yake na baba yake, na pia ni lazima kuzishika Sabato zangu. Mimi ndimi Bwana Mungu wenu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.