Walawi 16:33
Leviticus 16:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
na kufanya upatanisho kwa ajili ya Patakatifu pa Patakatifu, Hema la Kukutania na madhabahu, na pia kwa ajili ya makuhani, pamoja na jumuiya yote ya watu.
Leviticus 16:33 in English
Leviticus 16:33 · Berean Standard Bible
and make atonement for the Most Holy Place,* the Tent of Meeting, and the altar, and for the priests and all the people of the assembly.
Context
31Ni Sabato ya mapumziko, na lazima mfunge; ni agizo la kudumu. 32Kuhani ambaye ametiwa mafuta na kuwekwa wakfu ili kuingia mahali pa baba yake kama kuhani mkuu atafanya upatanisho. Atavaa mavazi matakatifu ya kitani, 33na kufanya upatanisho kwa ajili ya Patakatifu pa Patakatifu, Hema la Kukutania na madhabahu, na pia kwa ajili ya makuhani, pamoja na jumuiya yote ya watu. 34“Hili litakuwa agizo la kudumu kwa ajili yenu: Upatanisho utafanywa mara moja tu kwa mwaka kwa ajili ya dhambi zote za Waisraeli.”
Ndivyo ilivyofanyika, kama vile Bwana alivyomwamuru Mose.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.