Walawi 14:45
Leviticus 14:45 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ni lazima ibomolewe: mawe yake, mbao na lipu yake, vyote vikatupwe nje ya mji mahali palipo najisi.
Leviticus 14:45 in English
Leviticus 14:45 · Berean Standard Bible
It must be torn down with its stones, its timbers, and all its plaster, and taken outside the city to an unclean place.
Context
43“Ikiwa upele huo utatokea tena ndani ya ile nyumba baada ya mawe kuondolewa na nyumba kukwanguliwa na kuwekwa lipu mpya, 44kuhani atakwenda kuikagua, na kama upele umeenea ndani ya nyumba, basi ni upele uharibuo; nyumba hiyo ni najisi. 45Ni lazima ibomolewe: mawe yake, mbao na lipu yake, vyote vikatupwe nje ya mji mahali palipo najisi. 46“Yeyote atakayeingia katika nyumba hiyo ikiwa imefungwa, atakuwa najisi mpaka jioni. 47Yeyote atakayelala au kula ndani ya nyumba hiyo ni lazima afue nguo zake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.