Native Bible

Leviticus 12:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana akamwambia Mose,

Leviticus 12:1 in English

Leviticus 12:1 · Berean Standard Bible

Then the LORD said to Moses,

Context

1Bwana akamwambia Mose, 2“Waambie Waisraeli: ‘Mwanamke ambaye atapata mimba na kuzaa mtoto wa kiume atakuwa najisi kwa kawaida ya ibada kwa siku saba, kama anavyokuwa najisi wakati wa siku zake za hedhi. 3Mvulana atatahiriwa siku ya nane.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.