Walawi 11:14
Leviticus 11:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
mwewe mwekundu, aina zote za mwewe mweusi,
Leviticus 11:14 in English
Leviticus 11:14 · Berean Standard Bible
the kite, any kind of falcon,
Context
12Chochote kinachoishi ndani ya maji ambacho hakina mapezi na magamba kitakuwa chukizo kwenu. 13“ ‘Wafuatao ndio ndege watakaokuwa machukizo kwenu, hivyo msiwale kwa sababu ni chukizo: tai, furukombe, kipungu, 14mwewe mwekundu, aina zote za mwewe mweusi, 15aina zote za kunguru, 16mbuni, kiruka-njia, dudumizi, kipanga, shakwe, aina zote za kipanga,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.