Walawi 10:20
Leviticus 10:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mose aliposikia haya, akaridhika.
Leviticus 10:20 in English
Leviticus 10:20 · Berean Standard Bible
And when Moses heard this explanation, he was satisfied.
Context
18Kwa kuwa damu yake haikuletwa ndani ya Mahali Patakatifu, mngemla mbuzi huyo katika sehemu ya mahali patakatifu kama nilivyoagiza.” 19Aroni akamjibu Mose, “Leo wanangu wametoa sadaka zao za dhambi na sadaka zao za kuteketezwa mbele za Bwana, lakini mambo kama haya yamenitokea mimi. Je, Bwana angependezwa kama ningekuwa nimekula sadaka ya dhambi leo?” 20Mose aliposikia haya, akaridhika.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.