Native Bible

Leviticus 10:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

na lazima mwafundishe Waisraeli amri zote ambazo Bwana aliwapa kupitia Mose.”

Leviticus 10:11 in English

Leviticus 10:11 · Berean Standard Bible

so that you may teach the Israelites all the statutes that the LORD has given them through Moses.”

Context

9“Wewe na wanao msinywe mvinyo wala kinywaji kingine kilichochachuka wakati mwingiapo katika Hema la Kukutania, la sivyo mtakufa. Hili litakuwa Agizo la kudumu kwa vizazi vijavyo. 10Ni lazima mtenganishe kilicho kitakatifu na kile kilicho cha kawaida, kati ya yaliyo najisi na yaliyo safi, 11na lazima mwafundishe Waisraeli amri zote ambazo Bwana aliwapa kupitia Mose.” 12Mose akamwambia Aroni pamoja na wanawe waliosalia, Eleazari na Ithamari, “Chukueni sadaka ya nafaka iliyobaki kutoka sadaka zilizotolewa kwa Bwana kwa moto, muile hapo kando ya madhabahu ikiwa imeandaliwa bila chachu, kwa sababu ni takatifu sana. 13Mtaila katika mahali patakatifu kwa sababu ni fungu lenu na fungu la wana wenu la sadaka zilizotolewa kwa Bwana kwa moto, kwa maana hivyo ndivyo nilivyoamriwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.