Maombolezo 4:22
Lamentations 4:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ee Binti Sayuni, adhabu yako itaisha, hatarefusha muda wako wa kukaa uhamishoni. Lakini, ee Binti Edomu, ataadhibu dhambi yako, na atafunua uovu wako.
Lamentations 4:22 in English
Lamentations 4:22 · Berean Standard Bible
O Daughter of Zion, your punishment is complete; He will not prolong your exile.* But He will punish your iniquity, O Daughter of Edom; He will expose your sins.
Context
20Mpakwa mafuta wa Bwana, pumzi ya uhai wetu hasa,
alinaswa katika mitego yao.
Tulifikiri kwamba chini ya kivuli chake
tungeliweza kuishi miongoni mwa mataifa. 21Shangilia na ufurahi, ee Binti Edomu,
wewe unayeishi nchi ya Usi.
Lakini kwako pia kikombe kitapitishwa,
Utalewa na kuvuliwa nguo ubaki uchi. 22Ee Binti Sayuni, adhabu yako itaisha,
hatarefusha muda wako wa kukaa uhamishoni.
Lakini, ee Binti Edomu, ataadhibu dhambi yako,
na atafunua uovu wako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.