Yoshua 4:2
Joshua 4:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Chagua watu kumi na wawili miongoni mwa watu, kila kabila mtu mmoja,
Joshua 4:2 in English
Joshua 4:2 · Berean Standard Bible
“Choose twelve men from among the people, one from each tribe,
Context
1Wakati taifa lote lilipokwisha kuvuka Mto Yordani, Bwana akamwambia Yoshua, 2“Chagua watu kumi na wawili miongoni mwa watu, kila kabila mtu mmoja, 3nawe uwaambie wachukue mawe kumi na mawili katikati ya Mto Yordani, palepale makuhani waliposimama, wayachukue na kuyaweka mahali mtakapokaa usiku huu wa leo.” 4Basi Yoshua akawaita watu kumi na wawili ambao alikuwa amewachagua kutoka miongoni mwa Waisraeli, mtu mmoja kutoka kila kabila,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.