Native Bible

Joshua 4:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakati taifa lote lilipokwisha kuvuka Mto Yordani, Bwana akamwambia Yoshua,

Joshua 4:1 in English

Joshua 4:1 · Berean Standard Bible

When the whole nation had finished crossing the Jordan, the LORD said to Joshua,

Context

1Wakati taifa lote lilipokwisha kuvuka Mto Yordani, Bwana akamwambia Yoshua, 2“Chagua watu kumi na wawili miongoni mwa watu, kila kabila mtu mmoja, 3nawe uwaambie wachukue mawe kumi na mawili katikati ya Mto Yordani, palepale makuhani waliposimama, wayachukue na kuyaweka mahali mtakapokaa usiku huu wa leo.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.