Native Bible

Joshua 3:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yoshua na Waisraeli wote wakaondoka asubuhi na mapema kutoka Shitimu, wakaenda mpaka Mto Yordani, ambako walipiga kambi kabla ya kuvuka.

Joshua 3:1 in English

Joshua 3:1 · Berean Standard Bible

Early the next morning Joshua got up and left Shittim * with all the Israelites. They went as far as the Jordan, where they camped before crossing over.

Context

1Yoshua na Waisraeli wote wakaondoka asubuhi na mapema kutoka Shitimu, wakaenda mpaka Mto Yordani, ambako walipiga kambi kabla ya kuvuka. 2Baada ya siku tatu maafisa wakapita katika kambi yote, 3wakitoa maagizo kwa watu, wakiwaambia: “Mtakapoona Sanduku la Agano la Bwana Mungu wenu, likichukuliwa na Walawi ambao ndio makuhani, mtaondoka hapo mlipo na kulifuata.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.