Yoshua 2:8
Joshua 2:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kabla wale wapelelezi hawajalala, Rahabu akawaendea huko juu darini,
Joshua 2:8 in English
Joshua 2:8 · Berean Standard Bible
Before the spies lay down for the night, Rahab went up on the roof
Context
6(Lakini alikuwa amewapandisha darini akawafunika kwa mabua ya kitani aliyokuwa ameyatandika darini.) 7Basi hao watu wakaondoka kuwafuatilia hao wapelelezi katika njia ile inayoelekea vivuko vya Yordani, mara tu wafuatiliaji walipotoka nje, lango likafungwa. 8Kabla wale wapelelezi hawajalala, Rahabu akawaendea huko juu darini, 9akawaambia, “Ninajua kuwa Bwana amewapa nchi hii na hofu kuu imetuangukia kwa sababu yenu, kiasi kwamba wote waishio katika nchi hii wanayeyuka kwa hofu kwa sababu yenu. 10Tumesikia jinsi Bwana alivyokausha maji ya Bahari ya Shamu kwa ajili yenu mlipotoka Misri, pia lile mlilowatendea Sihoni na Ogu, wafalme wawili wa Waamori mashariki mwa Yordani, ambao mliwaangamiza kabisa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.