Yoshua 19:16
Joshua 19:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Miji hii na vijiji vyake ilikuwa ndio urithi wa Zabuloni, ukoo kwa ukoo.
Joshua 19:16 in English
Joshua 19:16 · Berean Standard Bible
This was the inheritance of the clans of the tribe of Zebulun, including these cities and their villages.
Context
14Huko mpaka ukazungukia upande wa kaskazini hadi Hanathoni na kuishia katika Bonde la Ifta-Eli. 15Miji mingine iliyojumuishwa ni Katathi, Nahalali, Shimroni, Idala na Bethlehemu. Kulikuwa na miji kumi na miwili pamoja na vijiji vyake. 16Miji hii na vijiji vyake ilikuwa ndio urithi wa Zabuloni, ukoo kwa ukoo. 17Kura ya nne ikamwangukia Isakari, ukoo kwa ukoo. 18Eneo lao lilijumuisha:
Yezreeli, Kesulothi, Shunemu,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.