Yoshua 18:21
Joshua 18:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kabila ya Benyamini, ukoo kwa ukoo, ilikuwa na miji mikubwa ifuatayo: Yeriko, Beth-Hogla, Emeki-Kesisi,
Joshua 18:21 in English
Joshua 18:21 · Berean Standard Bible
These were the cities of the clans of the tribe of Benjamin: Jericho, Beth-hoglah, Emek-keziz,
Context
19Kisha ukaenda mpaka kwenye mteremko wa kaskazini wa Beth-Hogla na kujitokeza kwenye ghuba ya kaskazini ya Bahari ya Chumvi, kwenye maingilio ya Yordani upande wa kusini. Huo ulikuwa mpaka wa kusini. 20Nayo Yordani ikawa ndio mpaka wa upande wa mashariki.
Hii ilikuwa ndiyo mipaka iliyoonyesha urithi wa koo za Benyamini pande zote. 21Kabila ya Benyamini, ukoo kwa ukoo, ilikuwa na miji mikubwa ifuatayo:
Yeriko, Beth-Hogla, Emeki-Kesisi, 22Beth-Araba, Semaraimu, Betheli, 23Avimu, Para na Ofra,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.