Native Bible

Joshua 15:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huu ndio urithi wa kabila la Yuda, ukoo kwa ukoo:

Joshua 15:20 in English

Joshua 15:20 · Berean Standard Bible

This is the inheritance of the clans of the tribe of Judah.

Context

18Siku moja Aksa alipokuja kwa Othnieli, alimsihi Othnieli amwombe baba yake, Kalebu, shamba. Aksa aliposhuka kutoka juu ya punda wake, Kalebu akamuuliza, “Je, wataka nikufanyie nini?” 19Akamjibu, “Naomba unifanyie jambo moja la hisani. Kwa kuwa umenipa ardhi huko Negebu, nipe pia chemchemi za maji.” Basi Kalebu akampa chemchemi za juu na za chini. 20Huu ndio urithi wa kabila la Yuda, ukoo kwa ukoo: 21Miji ya kusini kabisa ya kabila la Yuda katika Negebu kuelekea mpaka wa Edomu ilikuwa: Kabseeli, Ederi, Yaguri, 22Kina, Dimona, Adada,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.