Yoshua 13:2
Joshua 13:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Nchi iliyosalia ni hii: maeneo yote ya Wafilisti na Wageshuri:
Joshua 13:2 in English
Joshua 13:2 · Berean Standard Bible
This is the land that remains: All the territory of the Philistines and the Geshurites,
Context
1Yoshua alipokuwa mzee na umri wake ukiwa umesogea sana, Bwana akamwambia, “Wewe ni mzee sana, na bado kumesalia sehemu kubwa sana za nchi ambazo ni za kutwaliwa. 2“Nchi iliyosalia ni hii: maeneo yote ya Wafilisti na Wageshuri: 3kutoka Mto Shihori ulioko mashariki mwa Misri, kuelekea kaskazini kwenye eneo la Ekroni, ambayo yote ilihesabika kama ya Wakanaani (maeneo yale matano ya watawala wa Kifilisti, ambayo ni Gaza, Ashdodi, Ashkeloni, Gathi na Ekroni: ndiyo nchi ya Waavi); 4kuanzia kusini, nchi yote ya Wakanaani, kuanzia Ara ambayo ni ya Wasidoni, ikienea hadi Afeki, na eneo la Waamori,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.