Yoshua 12:9
Joshua 12:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
mfalme wa Yeriko mmoja mfalme wa Ai (karibu na Betheli) mmoja
Joshua 12:9 in English
Joshua 12:9 · Berean Standard Bible
the king of Jericho, one; the king of Ai, which is near Bethel, one;
Context
7Hawa ndio wafalme wa nchi ambao Yoshua na Waisraeli waliwashinda upande wa magharibi mwa Yordani, kuanzia Baal-Gadi katika Bonde la Lebanoni hadi kufikia Mlima Halaki, unaoinuka ukielekea Seiri. (Yoshua alitoa nchi zao kwa makabila ya Israeli iwe urithi wao sawasawa na mgawanyiko wa makabila yao: 8nchi ya vilima, shefela, upande wa magharibi, Araba, materemko ya milima, jangwa, na Negebu; nchi za Wahiti, Waamori, Wakanaani, Waperizi, Wahivi na Wayebusi): 9mfalme wa Yeriko mmoja
mfalme wa Ai (karibu na Betheli) mmoja 10mfalme wa Yerusalemu mmoja
mfalme wa Hebroni mmoja 11mfalme wa Yarmuthi mmoja
mfalme wa Lakishi mmoja
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.