Ayubu 6:17
Job 6:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
lakini hukauka majira ya ukame, na wakati wa hari hutoweka katika mikondo yake.
Job 6:17 in English
Job 6:17 · Berean Standard Bible
but ceasing in the dry season and vanishing from their channels in the heat.
Context
15Lakini ndugu zangu sio wa kutegemewa,
ni kama vijito vya msimu,
ni kama vijito ambavyo hufurika 16wakati vimefunikwa barafu iyeyukayo,
ambavyo hujazwa na theluji inayoyeyuka, 17lakini hukauka majira ya ukame,
na wakati wa hari hutoweka katika mikondo yake. 18Misafara hugeuka kutoka njia zake;
hukwea kwenda kwenye nchi ya ukiwa na kuangamia. 19Misafara ya Tema inatafuta maji,
wafanyabiashara wa Sheba wanaosafiri
hutazama kwa matarajio.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.