Native Bible

Job 6:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

wakati vimefunikwa barafu iyeyukayo, ambavyo hujazwa na theluji inayoyeyuka,

Job 6:16 in English

Job 6:16 · Berean Standard Bible

darkened because of the ice and the inflow of melting snow,

Context

14“Mtu anayekata tamaa angetazamia moyo wa kujitoa wa rafiki zake, hata kama akiacha uchaji wa Mwenyezi. 15Lakini ndugu zangu sio wa kutegemewa, ni kama vijito vya msimu, ni kama vijito ambavyo hufurika 16wakati vimefunikwa barafu iyeyukayo, ambavyo hujazwa na theluji inayoyeyuka, 17lakini hukauka majira ya ukame, na wakati wa hari hutoweka katika mikondo yake. 18Misafara hugeuka kutoka njia zake; hukwea kwenda kwenye nchi ya ukiwa na kuangamia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.