Native Bible

Job 4:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Je, kamba za hema yao hazikungʼolewa, hivyo hufa bila hekima?’

Job 4:21 in English

Job 4:21 · Berean Standard Bible

Are not their tent cords pulled up, so that they die without wisdom?’

Context

19ni mara ngapi zaidi wale waishio katika nyumba za udongo wa mfinyanzi, ambazo misingi yake ipo mavumbini, ambao wamepondwa kama nondo! 20Kati ya mawio na machweo huvunjwa vipande vipande; bila yeyote kutambua, huangamia milele. 21Je, kamba za hema yao hazikungʼolewa, hivyo hufa bila hekima?’

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.