Native Bible

Job 28:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Chuma hupatikana ardhini, nayo shaba huyeyushwa kutoka mawe ya madini.

Job 28:2 in English

Job 28:2 · Berean Standard Bible

Iron is taken from the earth, and copper is smelted from ore.

Context

1“Kuna machimbo ya fedha, na mahali dhahabu isafishwapo. 2Chuma hupatikana ardhini, nayo shaba huyeyushwa kutoka mawe ya madini. 3Mwanadamu hukomesha giza; huyatafuta hadi sehemu iliyo mbali, kwa ajili ya kuchimbua mawe yenye madini katika giza jeusi sana. 4Huchimba shimo jembamba mbali na makao ya watu, mahali paliposahaulika na nyayo za wanadamu; mbali na wanadamu huningʼinia na kupembea kwa kamba.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.