Ayubu 26:11
Job 26:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nguzo za mbingu nazo zatetemeka, zinatishika anapozikemea.
Job 26:11 in English
Job 26:11 · Berean Standard Bible
The foundations of heaven quake, astounded at His rebuke.
Context
9Huufunika uso wa mwezi mpevu,
akitandaza mawingu juu yake. 10Amechora mstari wa upeo juu ya uso wa maji,
ameweka mpaka wa nuru na giza. 11Nguzo za mbingu nazo zatetemeka,
zinatishika anapozikemea. 12Kwa nguvu zake aliisukasuka bahari;
kwa hekima yake alimkata Rahabu* vipande vipande. 13Aliisafisha anga kwa pumzi yake;
kwa mkono wake alimchoma joka aendaye mbio.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.