Ayubu 24:25
Job 24:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Kama hili sivyo, ni nani awezaye kunithibitisha kuwa mwongo, na kuyafanya maneno yangu kuwa si kitu?”
Job 24:25 in English
Job 24:25 · Berean Standard Bible
If this is not so, then who can prove me a liar and reduce my words to nothing?”
Context
23Aweza akawaacha wakapumzika wakijihisi salama,
lakini macho yake yanaona njia zao. 24Kwa kitambo kidogo hutukuka, hatimaye hutoweka;
hushushwa na kukusanywa kama wengine wote,
hukatwa kama masuke ya nafaka. 25“Kama hili sivyo, ni nani awezaye kunithibitisha kuwa mwongo,
na kuyafanya maneno yangu kuwa si kitu?”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.