Native Bible

Job 11:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bali macho ya waovu hayataona, wokovu utawaepuka; tarajio lao litakuwa ni hangaiko la mtu anayekata roho.”

Job 11:20 in English

Job 11:20 · Berean Standard Bible

But the eyes of the wicked will fail, and escape will elude them; they will hope for their last breath.”

Context

18Utakuwa salama, kwa kuwa lipo tumaini; utatazama pande zote na kupumzika kwa salama. 19Utalala, wala hakuna atakayekuogofya, naam, wengi watajipendekeza kwako. 20Bali macho ya waovu hayataona, wokovu utawaepuka; tarajio lao litakuwa ni hangaiko la mtu anayekata roho.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.