Yohana 6:61
John 6:61 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yesu alipojua kwamba wafuasi wake wananungʼunika kuhusu mafundisho yake, akawaambia, “Je, jambo hili limewaudhi?
John 6:61 in English
John 6:61 · Berean Standard Bible
Aware that His disciples were grumbling about this teaching, Jesus asked them, “Does this offend you?
Context
59Yesu alisema maneno haya alipokuwa akifundisha katika sinagogi huko Kapernaumu. 60Wengi wa wafuasi wake waliposikia jambo hili wakasema, “Mafundisho haya ni magumu. Ni nani awezaye kuyapokea?” 61Yesu alipojua kwamba wafuasi wake wananungʼunika kuhusu mafundisho yake, akawaambia, “Je, jambo hili limewaudhi? 62Ingekuwaje basi kama mngemwona Mwana wa Adamu akipaa kwenda zake huko alipokuwa kwanza? 63Roho ndiye atiaye uzima, mwili haufai kitu. Maneno haya niliyowaambia ni Roho tena ni uzima.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.