Native Bible

John 5:46 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama mngelimwamini Mose, mngeliniamini na mimi kwa maana aliandika habari zangu.

John 5:46 in English

John 5:46 · Berean Standard Bible

If you had believed Moses, you would believe Me, because he wrote about Me.

Context

44Ninyi mwawezaje kuamini ikiwa mnapeana utukufu ninyi kwa ninyi, lakini hamna bidii kupata utukufu utokao kwa Mungu? 45“Lakini msidhani kuwa mimi nitawashtaki mbele za Baba, mshtaki wenu ni Mose, ambaye mmemwekea tumaini lenu. 46Kama mngelimwamini Mose, mngeliniamini na mimi kwa maana aliandika habari zangu. 47Lakini ikiwa hamwamini aliyoandika Mose, mtaaminije ninayoyasema?”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.