Yohana 5:45
John 5:45 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Lakini msidhani kuwa mimi nitawashtaki mbele za Baba, mshtaki wenu ni Mose, ambaye mmemwekea tumaini lenu.
John 5:45 in English
John 5:45 · Berean Standard Bible
Do not think that I will accuse you before the Father. Your accuser is Moses, in whom you have put your hope.
Context
43Mimi nimekuja kwa jina la Baba yangu, nanyi hamnipokei, lakini mtu mwingine akija kwa jina lake mwenyewe, mtampokea. 44Ninyi mwawezaje kuamini ikiwa mnapeana utukufu ninyi kwa ninyi, lakini hamna bidii kupata utukufu utokao kwa Mungu? 45“Lakini msidhani kuwa mimi nitawashtaki mbele za Baba, mshtaki wenu ni Mose, ambaye mmemwekea tumaini lenu. 46Kama mngelimwamini Mose, mngeliniamini na mimi kwa maana aliandika habari zangu. 47Lakini ikiwa hamwamini aliyoandika Mose, mtaaminije ninayoyasema?”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.