Yohana 5:13
John 5:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Basi yule mtu aliyeponywa hakufahamu ni nani aliyemponya, kwa sababu Yesu alikuwa amejiondoa katika ule umati wa watu uliokuwa hapo.
John 5:13 in English
John 5:13 · Berean Standard Bible
But the man who was healed did not know who it was, for Jesus had slipped away while the crowd was there.
Context
11Yeye akawajibu, “Yule mtu aliyeniponya aliniambia, ‘Chukua mkeka wako na uende.’ ” 12Wakamuuliza, “Ni mtu gani huyo aliyekuambia uchukue mkeka wako uende?” 13Basi yule mtu aliyeponywa hakufahamu ni nani aliyemponya, kwa sababu Yesu alikuwa amejiondoa katika ule umati wa watu uliokuwa hapo. 14Baadaye Yesu akamkuta yule mtu aliyemponya ndani ya Hekalu na kumwambia, “Tazama umeponywa, usitende dhambi tena. La sivyo, lisije likakupata jambo baya zaidi.” 15Yule mtu akaenda, akawaambia wale Wayahudi kuwa ni Yesu aliyemponya.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.