Native Bible

John 16:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Naye atakapokuja, atauthibitishia ulimwengu kuhusu dhambi, haki na hukumu.

John 16:8 in English

John 16:8 · Berean Standard Bible

And when He comes, He will convict the world in regard to sin and righteousness and judgment:

Context

6Kwa sababu nimewaambia mambo haya, mioyo yenu imejawa na huzuni. 7Lakini nawaambia kweli, yafaa mimi niondoke, kwa kuwa nisipoondoka, huyo Msaidizi hatakuja kwenu, lakini nikienda nitamtuma kwenu. 8Naye atakapokuja, atauthibitishia ulimwengu kuhusu dhambi, haki na hukumu. 9Kwa habari ya dhambi, kwa sababu hawaniamini mimi, 10kwa habari ya haki, kwa sababu ninakwenda kwa Baba, nanyi hamtaniona tena,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.