Yohana 16:10
John 16:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kwa habari ya haki, kwa sababu ninakwenda kwa Baba, nanyi hamtaniona tena,
John 16:10 in English
John 16:10 · Berean Standard Bible
in regard to righteousness, because I am going to the Father and you will no longer see Me;
Context
8Naye atakapokuja, atauthibitishia ulimwengu kuhusu dhambi, haki na hukumu. 9Kwa habari ya dhambi, kwa sababu hawaniamini mimi, 10kwa habari ya haki, kwa sababu ninakwenda kwa Baba, nanyi hamtaniona tena, 11kwa habari ya hukumu, kwa sababu yule mkuu wa ulimwengu huu amekwisha kuhukumiwa. 12“Bado ninayo mambo mengi ya kuwaambia, lakini hamwezi kuyastahimili sasa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.