Native Bible

John 15:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Amri yangu ndiyo hii: Mpendane kama mimi nilivyowapenda ninyi.

John 15:12 in English

John 15:12 · Berean Standard Bible

This is My commandment, that you love one another as I have loved you.

Context

10Mkizishika amri zangu mtakaa katika pendo langu, kama mimi nilivyozishika amri za Baba yangu na kukaa katika pendo lake. 11Nimewaambia mambo haya ili furaha yangu iwe ndani yenu na furaha yenu iwe kamili. 12Amri yangu ndiyo hii: Mpendane kama mimi nilivyowapenda ninyi. 13Hakuna mtu mwenye upendo mkuu kuliko huu, mtu kuutoa uhai wake kwa ajili ya rafiki zake. 14Ninyi ni rafiki zangu mkifanya ninayowaamuru.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.