Native Bible

John 15:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nimewaambia mambo haya ili furaha yangu iwe ndani yenu na furaha yenu iwe kamili.

John 15:11 in English

John 15:11 · Berean Standard Bible

I have told you these things so that My joy may be in you and your joy may be complete.

Context

9“Kama vile Baba alivyonipenda mimi, hivyo ndivyo mimi nilivyowapenda ninyi. Basi kaeni katika pendo langu. 10Mkizishika amri zangu mtakaa katika pendo langu, kama mimi nilivyozishika amri za Baba yangu na kukaa katika pendo lake. 11Nimewaambia mambo haya ili furaha yangu iwe ndani yenu na furaha yenu iwe kamili. 12Amri yangu ndiyo hii: Mpendane kama mimi nilivyowapenda ninyi. 13Hakuna mtu mwenye upendo mkuu kuliko huu, mtu kuutoa uhai wake kwa ajili ya rafiki zake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.