Yohana 14:16
John 14:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine akae nanyi milele.
John 14:16 in English
John 14:16 · Berean Standard Bible
And I will ask the Father, and He will give you another Advocate * to be with you forever—
Context
14Kama mkiniomba lolote kwa Jina langu nitalifanya. 15“Kama mnanipenda, mtazishika amri zangu. 16Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine akae nanyi milele. 17Huyo ndiye Roho wa kweli ambaye ulimwengu hauwezi kumpokea, kwa sababu haumwoni wala haumjui. Ninyi mnamjua kwa kuwa yuko pamoja nanyi naye anakaa ndani yenu. 18Sitawaacha ninyi yatima, naja kwenu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.