Native Bible

John 12:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu akamkuta mwana-punda akampanda, kama ilivyoandikwa,

John 12:14 in English

John 12:14 · Berean Standard Bible

Finding a young donkey, Jesus sat on it, as it is written:

Context

12Siku iliyofuata umati mkubwa uliokuwa umekuja kwenye Sikukuu walisikia kwamba Yesu angekuja Yerusalemu. 13Basi wakachukua matawi ya mitende, wakatoka kwenda kumlaki, huku wakipaza sauti wakisema, “Hosana!”* “Amebarikiwa yeye ajaye kwa Jina la Bwana!” “Amebarikiwa Mfalme wa Israeli!” 14Yesu akamkuta mwana-punda akampanda, kama ilivyoandikwa, 15“Usiogope, Ewe binti Sayuni; tazama, Mfalme wako anakuja, amepanda mwana-punda!” 16Wanafunzi wake Yesu mwanzoni hawakuelewa mambo haya, lakini Yesu alipotukuzwa, ndipo walipokumbuka kuwa mambo haya yalikuwa yameandikwa kwa ajili yake na alitendewa yeye.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.