Native Bible

Jeremiah 42:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo maafisa wote wa jeshi, pamoja na Yohanani mwana wa Karea, na Yezania mwana wa Hoshaya, na watu wote kuanzia aliye mdogo kabisa hadi aliye mkuu sana wakamjia

Jeremiah 42:1 in English

Jeremiah 42:1 · Berean Standard Bible

Then all the commanders of the forces, along with Johanan son of Kareah, Jezaniah * son of Hoshaiah, and all the people from the least to the greatest, approached

Context

1Ndipo maafisa wote wa jeshi, pamoja na Yohanani mwana wa Karea, na Yezania mwana wa Hoshaya, na watu wote kuanzia aliye mdogo kabisa hadi aliye mkuu sana wakamjia 2Yeremia nabii na kumwambia, “Tafadhali sikia maombi yetu na umwombe Bwana Mungu wako kwa ajili ya watu hawa wote waliosalia. Kwa kuwa kama unavyoona sasa, ingawa wakati fulani tulikuwa wengi, sasa tumesalia wachache tu. 3Omba ili Bwana Mungu wako atuambie twende wapi na tufanye nini.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.