Native Bible

Jeremiah 37:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha Wakaldayo watarudi na kushambulia mji huu, watauteka na kuuchoma moto.’

Jeremiah 37:8 in English

Jeremiah 37:8 · Berean Standard Bible

Then the Chaldeans will return and fight against this city. They will capture it and burn it down.

Context

6Ndipo neno la Bwana likamjia nabii Yeremia kusema: 7“Hili ndilo asemalo Bwana, Mungu wa Israeli: Mwambie mfalme wa Yuda aliyekutuma uniulize mimi, ‘Jeshi la Farao lililotoka kuja kukusaidia litarudi katika nchi yake yenyewe, yaani Misri. 8Kisha Wakaldayo watarudi na kushambulia mji huu, watauteka na kuuchoma moto.’ 9“Hili ndilo Bwana asemalo: Msijidanganye wenyewe mkifikiri, ‘Hakika Wakaldayo watatuacha na kwenda zao.’ Hakika hawatawaacha! 10Hata kama mngelishinda jeshi lote la Wakaldayo linalowashambulia ninyi, na wakawa ni watu waliojeruhiwa tu waliobaki kwenye mahema yao, wangetoka na kuuchoma mji huu moto.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.