Yeremia 20:18
Jeremiah 20:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa nini basi nilitoka tumboni ili kuona taabu na huzuni, na kuzimaliza siku zangu katika aibu?
Jeremiah 20:18 in English
Jeremiah 20:18 · Berean Standard Bible
Why did I come out of the womb to see only trouble and sorrow, and to end my days in shame?
Context
16Mtu huyo na awe kama miji ile
ambayo Bwana Mungu
aliiangamiza bila huruma.
Yeye na asikie maombolezo asubuhi
na kilio cha vita adhuhuri. 17Kwa sababu hakuniua nikiwa tumboni,
hivyo mama yangu angekuwa kaburi langu,
nalo tumbo lake la uzazi
lingebaki kuwa kubwa daima. 18Kwa nini basi nilitoka tumboni
ili kuona taabu na huzuni,
na kuzimaliza siku zangu katika aibu?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.