Native Bible

Jeremiah 18:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hili ndilo neno lililomjia Yeremia kutoka kwa Bwana:

Jeremiah 18:1 in English

Jeremiah 18:1 · Berean Standard Bible

This is the word that came to Jeremiah from the LORD:

Context

1Hili ndilo neno lililomjia Yeremia kutoka kwa Bwana: 2“Shuka uende mpaka nyumba ya mfinyanzi, nami huko nitakupa ujumbe wangu.” 3Kwa hiyo nikashuka mpaka kwenye nyumba ya mfinyanzi, nikamkuta akifinyanga kwa gurudumu lake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.