Waamuzi 20:19
Judges 20:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Asubuhi yake Waisraeli wakaamka na kupiga kambi karibu na Gibea.
Judges 20:19 in English
Judges 20:19 · Berean Standard Bible
The next morning the Israelites set out and camped near Gibeah.
Context
17Nao watu wa Israeli, mbali na hao wa Benyamini, wakakusanya watu waume 400,000, wenye kutumia panga, wote hao walikuwa mashujaa. 18Waisraeli wakapanda Betheli na kumuuliza Mungu, “Ni nani miongoni mwetu atakayetangulia mbele yetu ili kupigana na Wabenyamini?”
Bwana akawajibu, “Yuda ndiye atakayetangulia.” 19Asubuhi yake Waisraeli wakaamka na kupiga kambi karibu na Gibea. 20Waisraeli wakatoka kupigana na Wabenyamini, nao Waisraeli wakajiweka kwenye nafasi zao katika vita dhidi yao huko Gibea. 21Wabenyamini wakatoka Gibea na kuwaua watu 22,000 wa Israeli siku ile.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.