Native Bible

Judges 13:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yule mwanamke akazaa mtoto wa kiume akamwita jina lake Samsoni. Kijana akakua, naye Bwana akambariki.

Judges 13:24 in English

Judges 13:24 · Berean Standard Bible

So the woman gave birth to a son and named him Samson. The boy grew, and the LORD blessed him.

Context

22Manoa akamwambia mkewe, “Hakika tutakufa, kwa kuwa tumemwona Mungu.” 23Lakini mkewe akamwambia, “Ikiwa Bwana alikuwa amekusudia kutuua, asingelipokea sadaka ya kuteketezwa na sadaka ya unga kutoka mikononi mwetu, wala asingelituonyesha mambo haya yote wala kututangazia mambo kama haya wakati huu.” 24Yule mwanamke akazaa mtoto wa kiume akamwita jina lake Samsoni. Kijana akakua, naye Bwana akambariki. 25Roho wa Bwana akaanza kumsukuma wakati alipokuwa huko Mahane-Dani, kati ya Sora na Eshtaoli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.