Isaya 64:12
Isaiah 64:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ee Bwana, baada ya haya yote, utajizuia? Je, utanyamaza kimya na kutuadhibu kupita kiasi?
Isaiah 64:12 in English
Isaiah 64:12 · Berean Standard Bible
After all this, O LORD, will You restrain Yourself? Will You keep silent and afflict us beyond measure?
Context
10Miji yako mitakatifu imekuwa jangwa;
hata Sayuni ni jangwa, Yerusalemu ni ukiwa. 11Hekalu letu takatifu na tukufu, mahali ambapo baba zetu walikusifu wewe,
limechomwa kwa moto,
navyo vitu vyote tulivyovithamini vimeharibika. 12Ee Bwana, baada ya haya yote, utajizuia?
Je, utanyamaza kimya na kutuadhibu kupita kiasi?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.