Native Bible

Isaiah 60:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Ondoka, angaza, kwa kuwa nuru yako imekuja na utukufu wa Bwana umezuka juu yako.

Isaiah 60:1 in English

Isaiah 60:1 · Berean Standard Bible

Arise, shine, for your light has come, and the glory of the LORD rises upon you.

Context

1“Ondoka, angaza, kwa kuwa nuru yako imekuja na utukufu wa Bwana umezuka juu yako. 2Tazama, giza litaifunika dunia na giza kuu litayafunika mataifa, lakini Bwana atazuka juu yako na utukufu wake utaonekana juu yako. 3Mataifa watakuja kwenye nuru yako na wafalme kwa mwanga wa mapambazuko yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.