Native Bible

Isaiah 43:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baba yako wa kwanza alitenda dhambi, wasemaji wako wameasi dhidi yangu.

Isaiah 43:27 in English

Isaiah 43:27 · Berean Standard Bible

Your first father sinned, and your spokesmen rebelled against Me.

Context

25“Mimi, naam mimi, ndimi nizifutaye dhambi zako, kwa ajili yangu mwenyewe, wala sizikumbuki dhambi zako tena. 26Tafakari mambo yaliyopita, njoo na tuhojiane, leta shauri lako uweze kupewa haki yako. 27Baba yako wa kwanza alitenda dhambi, wasemaji wako wameasi dhidi yangu. 28Kwa hiyo nitawaaibisha wakuu wa Hekalu lako, nami nitamtoa Yakobo aangamizwe, na Israeli adhihakiwe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.