Isaya 33:5
Isaiah 33:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana ametukuka, kwa kuwa anakaa mahali palipoinuka, ataijaza Sayuni kwa haki na uadilifu.
Isaiah 33:5 in English
Isaiah 33:5 · Berean Standard Bible
The LORD is exalted, for He dwells on high; He has filled Zion with justice and righteousness.
Context
3Kwa ngurumo ya sauti yako, mataifa yanakimbia;
unapoinuka, mataifa hutawanyika. 4Mateka yenu, enyi mataifa, yamevunwa kama vile wafanyavyo madumadu,
kama kundi la nzige watu huvamia juu yake. 5Bwana ametukuka, kwa kuwa anakaa mahali palipoinuka,
ataijaza Sayuni kwa haki na uadilifu. 6Atakuwa msingi ulio imara kwa wakati wenu,
ghala za wokovu tele, hekima na maarifa;
kumcha Bwana ni ufunguo wa hazina hii. 7Angalia, watu wake mashujaa wanapiga kelele kwa nguvu barabarani,
wajumbe wa amani wanalia kwa uchungu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.