Native Bible

Isaiah 30:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ingawa wana maafisa katika Soani na wajumbe wamewasili katika Hanesi,

Isaiah 30:4 in English

Isaiah 30:4 · Berean Standard Bible

For though their princes are at Zoan and their envoys have arrived in Hanes,

Context

2wale washukao kwenda Misri bila kutaka shauri langu, wanaotafuta msaada wa ulinzi wa Farao, watafutao kivuli cha Misri kwa ajili ya kimbilio. 3Lakini ulinzi wa Farao utakuwa kwa aibu yenu, kivuli cha Misri kitawaletea fedheha. 4Ingawa wana maafisa katika Soani na wajumbe wamewasili katika Hanesi, 5kila mmoja ataaibishwa kwa sababu ya taifa lisilowafaa kitu, ambalo haliwaletei msaada wala faida, bali aibu tu na fedheha.” 6Neno kuhusu wanyama wa Negebu: Katika nchi ya taabu na shida, ya simba za dume na jike, ya nyoka mwenye sumu kali na nyoka warukao, wajumbe huchukua utajiri wao juu ya migongo ya punda, hazina zao juu ya nundu za ngamia, kwa lile taifa lisilokuwa na faida,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.